Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Dkt. Ashatu Kijaji, ametangaza kuwa Tanzania itaungana na jumuiya ya kimataifa kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Hifadhi ya Tabaka la Ozone, ambayo itaadhimishwa mnamo Septemba 16, 2024. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mnamo Septemba 14, 2024, Dkt. Kijaji alieleza kuwa... Read More