ZIARA ya ukaguzi wa skimu za umwagiliaji na maendeleo ya upembuzi yakinifu wa skimu za umwagiliaji imeendelea leo tarehe 14 Septemba 2024 katika Wilaya za Nzega na Igunga, Mkoani Tabora. Akikagua eneo linalotarajiwa kujengwa bwawa la maji lenye ukubwa wa hekta 3,205 na ujenzi wa mifereji ya kusafirisha maji, Mhe. Hussein Bashe (Mb), Waziri... Read More