Na. Peter Haule na Chedaiwe Msuya, WF, Dodoma Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Idara ya Afrika Mashariki na Kusini, wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo ya Kilimo (IFAD), Bi. Sara Mbago-Bhunu ambapo wamejadili kuhusu kuimarisha uhimilivu wa mifumo ya upatikanaji wa... Read More