Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Nigeria na Arsenal ya England, Nwankwo Kanu ametembelea Hospitali ya Taifa Muhimbili -Mloganzila kwa lengo la kuwajulia hali na kuwafariji wagonjwa waliolazwa hospitalini hapo na kuangalia maeneo wanayoweza kushirikiana. Kanu ambaye ni mwanzilishi na Mkurugenzi wa Taasisi ya Kanu Heart Foundation ametembelea kitengo cha uchunguzi wa magonjwa... Read More