Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya akisisitiza jambo alipokagua eneo la Kilambo mkoani Mtwara linapotarajiwa kujengwa daraja linalounganisha Tanzania na Msumbiji kwa njia fupi Mbunge wa Jimbo la Nanyamba, mkoani Mtwara, Mheshimiwa Abdallah Chikota akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya (Wanne kushoto) alipokagua eneo la Kilambo mkoani Mtwara linapotarajiwa kujengwa... Read More