Na Mwandishi wetu WAZIRI wa Kilimo Husein Bashe (mb) atua kibabe Kisesa na kukutana na Mbunge wa jimbo hilo Luhaga Mpina ana kwa ana. Amtaka mbunge huyo kuacha siasa katika zao la Pamba Kwani Serikali ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, inahitaji kuona fedha zinazotengwa zinanufaisha wakulima. Awaahidi wananchi wa jimbo hilo kuwa serikali inarejesha... Read More