Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akiwasili katika eneo la mradi wa kuchakata taka kwa ajili ya mbolea ya asili uliopo Mabwepande Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam leo Septemba 13, 2024. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt.... Read More