*Mbio za kupitia vikwazo (Obstacle Adventure Racing) Na Mwandishi Wetu, Michuzi TV WASHIRIKI wa mafunzo ya ualimu hatua ya kwanza ya mchezo mpya wa kimataifa wa mbio za kupitia vikwazo (World Obstacle Adventure Racing) unaoanzishwa hapa nchini wamesema mafunzo waliyoyapata ya mchezo huo yatawasaidia kuufundisha mchezo huo ili kuwafikia watu wengi zaidi. Wakiongea kwa nyakati... Read More