Mkuu wa Idara ya Watoto wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Monica Appolo (kushoto) akimkabidhi Afisa Uhusiano wa NIC Insurance Enfransia Mawala tunzo ya kutambua mchango wa NIC Insurance katika Hospitali ya Taifa Muhimbili,jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Idara ya Tiba ya Hospitali ya Taifa Muhimbili Dkt.John Rwegasha (mwenye miwani) akimuonesha moja ya meza na... Read More