Na Mwandishi wetu, Simanjiro WANAFUNZI 5,383 wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, wameanza mitihani ya kuhitimu elimu ya msingi kwa darasa la saba kwa mwaka 2024 hivyo kuungana na wanafunzi wenzao wanaofanya mitihani nchini. Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro, Gracian Max Makota amesema wanafunzi 5,692 wanatarajia kufanya mtihani wa kuhitimu darasa... Read More