Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Justine Nyamoga, imeridhishwa na namna ambavyo miradi mbalimbali ya afya na miundombinu ya barabara imetekelezwa katika Halmasahuri ya Wiliya ya Wanging`ombe na kusisitiza kuwa miradi yote lazima iende sambamba na thamani yake ya fedha. Amesema... Read More