Kwa kipindi cha miezi nane iliyopita, watu 51 wamefariki na zaidi ya 20,000 wameambukizwa virusi vya Dengue katika kanda ya Western Visayas, Ufilipino, kwa mujibu wa ripoti za vyombo vya habari vya serikali. Kulingana na ripoti ya Shirika la Habari la Ufilipino, kanda hiyo imepokea wagonjwa 20,814 waliougua homa ya Dengue, ugonjwa unaosababishwa na virusi... Read More