Serikali ya Tanzania imeelezea kusainiwa kwa makubaliano muhimu kati yake na Serikali ya Zambia pamoja na Kampuni ya China kwa ajili ya kufufua reli ya TAZARA. Makubaliano haya yanatarajiwa kuimarisha usafiri wa reli unaounganisha Bandari ya Dar es Salaam na nchi za Kusini mwa Afrika, hususani zile za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).... Read More