Wizara ya afya huko Gaza Jumanne ilisema shambulizi la kombora la Israel katika eneo lililotengwa kuhifadhi wakimbizi wa ndani katika Ukanda wa kusini mwa Gaza, liliua watu 19 na kujeruhi wengine 60. Wizara hiyo ilisema waokoaji walikuwa hawajaweza kufika kwenye eneo la tukio ili kuwaondoa baadhi ya waathirika waliofukiwa chini ya mchanga na vifusi. Idadi... Read More