Na Mwandishi Wetu Katika kuunga mkono jitihada za Serikali katika kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia, Kampuni ya Puma Energy Tanzania kupitia PumaGas imezindua kampeni ya Bei kama Mkaa faida kibao yenye lengo la kuwahimiza wananchi kupika kwa nshati ya gesi. Uzinduzi wa kampeni hiyo umefanyika leo Septemba 10, 2024 katika Viwanja vya Zakhem,... Read More