NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa,akiweka jiwe la msingi Tawi la CCM Mtambwe katika ziara ya Sekretarieti ya Kamati Maalum ya NEC,CCM Taifa Zanzibar Wilaya ya Wete Kichama. NA IS-HAKA OMAR,ZANZIBAR. CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimelitaka Jeshi la Polisi kuchukua hatua za kisheria kwa watu wote waliohusika na vitendo vya... Read More