Baaadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano wa Waziri wa Maji Nishati na Madini Shaib Hassan Kaduwara na Waandishi wa Habari kuhusiana na Taarifa ya Uzinduzi wa Ripoti ya Jiolojia na Utafiti wa Madini uliofanyika Zanzibar,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Zura Maisara Zanzibar. Mwandishi wa Habari wa ITV Farouk Karim akiuliza maswali katika Mkutano... Read More