Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo akizungumza na waandishi wa habari Mkoani Arusha leo kuhusu uzinduzi huo. ……… Happy Lazaro, Arusha . Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa kesho Septemba 11, 2024 anatarajiwa kuzindua taarifa ya tathimini huru na ya kina ya miaka mitano ya... Read More