Na Mwandishi wetu Arusha NAIBU waziri mkuu Dk Dotto Biteko amewataka maafisa manunuzi na ugavi nchini kufanya kazi zao Kwa uadilifu ,uwajibikaji uwazi na maadili katika utendaji wa kazi na kuepuka vitendo vya rushwa Ili kuonyesha thamani halisi ya matumizi ya fedha za umma Dk Biteko ameyasema hayo Leo wakati akimuwakilisha Rais Samia Suluhu katika... Read More