Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imeshiriki katika Kongamano la 16 la Ununuzi wa Umma la Afrika Mashariki Jijini Arusha. Kongamano hilo lilianza tarehe 9 – 12 Septemba 2024. Aidha, katika kongamano hilo, PPAA imeshiriki pia kufanya maonesho ya kutoa elimu kuhusu majukumu, malengo na mafanikio yake kwa umma na wadau wa sekta... Read More