Australia inapanga kuweka umri wa chini kabisa kwa watoto kufikia mitandao ya kijamii kutokana na wasiwasi kuhusu afya ya akili na kimwili. Waziri Mkuu Anthony Albanese alisema hivi karibuni serikali yake itajaribu teknolojia ya kuthibitisha umri kabla ya kupiga marufuku watoto kufungua akaunti za mitandao ya kijamii baadaye mwaka huu. Alisema kiwango hicho kinaweza kuwa... Read More