Mji mkuu wa Ufaransa, Paris, utamuenzi mwanaolimpiki wa Uganda Rebecca Cheptegei, ambaye alichomwa moto na mpenzi wake, kwa kukipa jina kituo cha michezo kwa heshima yake, Meya wa Paris Anne Hidalgo alitangaza Ijumaa. Mwanariadha huyo wa mbio za marathon, ambaye alishiriki katika Michezo ya Paris mwezi uliopita alifariki Alhamisi, siku nne baada ya kumwagiwa petroli... Read More