Jeshi la Urusi lilisema Jumanne kwamba liliharibu ndege 144 za anga za Ukraine zilizorushwa katika mashambulio ya usiku kulenga maeneo ya magharibi mwa Urusi. Vikosi vya ulinzi wa anga vilidungua ndege 20 zisizo na rubani katika mkoa wa Moscow, ambapo Gavana Andrey Vorobyov alisema ndege zisizo na rubani ziliharibu majengo ya ghorofa na nyumba huko... Read More