Morogoro, Tanzania Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili, na Utalii imeutaka mkandarasi wa mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kikoboga, ulio ndani ya Hifadhi ya Taifa Mikumi, kuongeza juhudi ili kukamilisha mradi huo kwa wakati. Ujenzi wa uwanja huo unafanywa na kampuni ya Badr East Africa Enterprises Ltd. kwa gharama ya... Read More