Na Munir Shemweta, WANMM MLELE Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amemuelekeza Kamishna wa Ardhi Msaidizi mkoa wa Katavi kuhakikisha eneo la mradi wa maji safi kutoka Majimoto kwenda Usevya linapatiwa hati milki ndani ya wiki mbili. Mhe. Pinda ametoa kauli hiyo leo tarehe 9 Septema 2024 wakati wa... Read More