Mamlaka za Ujerumani zimetangaza kuwa kitengo cha ujasusi cha kijeshi cha Urusi (GRU), kinachofahamika kama kitengo 29155, kimefanya mashambulizi ya mtandao dhidi ya Walengwa mbalimbali barani Ulaya na kote ulimwenguni. Ofisi ya Shirikisho la Ulinzi wa Katiba (BfV) ya Ujerumani ilisema kuwa Kitengo hicho kimehusika na mashambulizi dhidi ya miundombinu ya kiraia na shughuli za... Read More