Watu 21 wameuawa hivi punde Jumapili Septemba 8 kwa kupigwa risasi na wanamgambo katika soko la Sennar, kusini mashariki mwa Sudani, siku moja baada ya viongozi wa nchi hiyo kukataa jeshi huru la kuwalinda raia. Mtandao wa Madaktari wa Sudani, ambao umetangaza idadi ya vifo vya watu 21, pia umeripoti zaidi ya watu 70 waliojeruhiwa... Read More