AKIWA katika mkutano na viongozi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Bagamoyo uliofanyika katika ukumbi wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TASUBA) Mkoani Pwani, Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi Tanzania Jumuiya ya CCM, Ndugu. Ally Salum Hapi *(MNEC) ametuma salamu kwa viongozi wasio wajibika katika nafasi zao walizoaminiwa na... Read More