NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeshiriki katika Maonesho ya 21 ya Wahandisi Tanzania kwa kutoa elimu kwa wahandisi kuhusu uwepo mashine bora na za kisasa katika maabara ya TBS ambazo wanaweza katika miradi yao kuhakiki bidhaa katika miradi yao. Akizungumza na waandishi wa habari leo Septemba 6, 2024 katika Maonesho... Read More
SHIRIKA la Hifadhi za Taifa Tanzania ( TANAPA) limezindua rasmi msimu wa nne wa kampeni ya Twendezetu kileleni 2024, ili kuhamasisha Watanzania kupanda mlima Kilimanjaro ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya uhuru wa Tanganyika. Akizungumza na waandishi wa habari leo Septemba 6, 2024, jijini Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Kitengo cha Maendeleo ya Biashara TANAPA,... Read More
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo (Mb) ameliagiza Shirika la Viwango Tanzania (TBS) ifikapo mwezi Desemba,2024 kuwachukulia hatua za kisheria kwa wamiliki wa Viwanda na wazalishaji wa bomba (holepipes) wanaokiuka sheria za viwango vinavyowekwa na Shirika hilo ikiwemo kuteketeza bidhaa hizo na gharama za uteketezaji zitakuwa chini ya mmiliki wa bidhaa hizo. Ameyasema hayo... Read More
Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Beijing China. Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Bw. Mohammed Khamis Abdulla, amesema Wizara hiyo ipo tayari kushirikiana na wawekezaji mbalimbali wa katika ya Mawasiliano walioonesha nia ya kuwekeza nchini. Amesema hayo tarehe 06 Septemba, 2024 jijini Beijing, nchini China mara baada ya kushiriki mazungumzo kati... Read More
Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, John Mongella, leo Septemba 6, 2024, amekutana na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Shinyanga mjini, wajumbe wa baraza la jumuiya, na mabalozi katika ukumbi wa CCM Wilaya ya Shinyanga mjini. Mkutano huo ulihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa CCM pamoja na viongozi wa serikali,... Read More