Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma IMEELEZWA kuwa kuanzia agosti 2020 hadi kufikia julai 2024 mradi wa USAID huduma za afya kwa Polisi na Magereza umeweza kuwafikia jumla ya watu 223,201 kwa huduma za upimaji wa VVU na kutambua watu waishio na maambukizi ya VVU 8,214 na kuunganishwa na huduma za tiba na matunzo katika vituo... Read More