MWANAMUZIKI Ferdnand Ndikuriyo(27) maarufu kama Chuma wa Chuma amepandishwa katika kizimba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu shtaka moja la kuishi nchini bila kibali. Chuma ambaye ni Raia wa Burundi anayeishi Mbezi Louis, Dar es Salaam, amesomewa shtaka lake na wakili wa serikali Ezekiel Kibona mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Ushindi Swalo. Inadaiwa Septemba... Read More