WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amefanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Cuba, Mhe. Bruno Rodriguez Parrilla jijini Havana, Cuba tarehe 4 Novemba, 2024. Mazungumzo ya viongozi hao yalijikita katika kuendelea kuimarisha ushirikiano wa kimaendeleo katika sekta mbalimbali ikiwemo,sekta ya... Read More