Wachezaji wa Korea Kaskazini, Kim Kum-yong na Ri Jong-sik wanaripotiwa kuwekwa chini ya ‘uchunguzi wa kiitikadi’ na wanaweza kukabiliwa na adhabu ikiwa watashindwa kujitetea kutokana na tabia isiyofaa waliyoonyesha kwenye michezo ya Olimpiki mwaka huu. Mojawapo ya picha zinazosherehekewa zaidi za katika michezo ya Olimpiki iliyomalizika huko Paris, Ufaransa ni “selfie” iliyopigwa na wachezaji wa... Read More