Na Mwandishi wetu, Mirerani MWENYEKITI mpya wa wachimbaji wa madini Mkoani Manyara (MAREMA) Elisha Nelson Mnyawi, amesema wachimbaji wanakabiliwa na ukosefu wa mitaji ya kuendesha shughuli zao uchimbaji hali inayosababisha waendelee kuwa masikini licha ya kuzungukwa na utajiri mkubwa wa madini mbalimbali. Mwenyekiti huyo mpya wa MAREMA Elisha Nelson Mnyawi ameyasema hayo akizungumza mji mdogo... Read More