Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Serikali inatekeleza mradi wa kuiunganisha Mikoa ya Mtwara na Lindi na umeme wa gridi kutokea Songea kwa kupitia njia ya Tunduru, Masasi -Mahumbika. Mhe. Kapinga ameyasema hayo leo Novemba 04, 2024 bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mhe. Zuberi Kuchauka, Mbunge wa Liwale aliyetaka kufahamu uamuzi... Read More