Idara ya uhamiaji yamulikwa mafunzo Marekani,washiriki watoa dira namna ya kukabiliana na changamoto
Mafunzo kwa Shirikisho la askari wa kike na wasimamizi wa sheria duniani yameendelea katika Jiji la Chicago Nchini Marekani ambapo mada na masomo mbalimbali yameendelea ambapo suala la wahamiaji na changamoto zake kutokana na mabadiliko ya Sheria baina ya Nchi na Nchi likamulikwa na washiriki wakapata nafasi ya kubadilisha uzoefu namna ya kukamiliana na changamoto... Read More