SHIRIKA la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limetoa tahadhari kwa wadau wa usafiri wa majini na wale wanaofanya shughuli za kiuchumi baharini na kwenye maziwa, kuchukua tahadhari kufuatia taarifa za uwapo wa upepo mkali zilizotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa TASAC, baada ya kupokea taarifa ya uwapo... Read More