Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Zuhura Yunus akitembelea mabanda ya wajasiriamali wa Tanzania katika Maonesho ya 24 ya Wajasiriamali Wadogo na wa Kati wa Jumuiya ya Afrika Mashariki maarufu Nguvu Kazi au Jua Kali yanayofanyika jijini Juba nchini Sudan Kusini leo Novemba 2, 2024. Naibu Katibu... Read More