Nchi ya Tanzania pamoja na Afrika ya Kusini zimeingia makubaliano kushirikiana katika teknolojia ya anga wakati nchi ikijiandaa kurusha satelaiti yake ya kwanza mwaka 2026. Akizungumza leo Oktoba 31,2024 Jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Taaluma, Dkt.Petro Ernest amesema Teknolojia ya anga inasaidia Maendeleo katika nyanja tofauti tofauti kwani inajumuisha Mambo mengi yamayohusu maisha ya... Read More