MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Alhaj Othman Masoud Othman, Leo Jumamosi Septemba 21, 2024, amejumuika, pamoja na Masheikh, Waumini wa Kiislamu na Wananchi mbali mbali, katika Maziko ya Bi. Kesi Wakili Jaha, huko Mombasa SOS, Mkoa wa Mjini-Magharibi, Unguja. Marehemu Bi. Kesi ambaye ni Mama Mzazi wa Mmoja wa Wasaidizi wa Mheshimiwa... Read More