MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu (LATRA) imesisitiza dhamira yake ya kupanua wigo wa sekta ya usafirishaji ili kuhakikisha inawanufaisha watu binafsi na kuchangia ukuaji wa uchumi wa taifa. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka hiyo, CPA HAbibu Suluo katika hafla ya kukabidhi cheti cha wakala wa leseni kwa Kilimanjaro Bajaji na... Read More