Na Mwandishi Wetu,Katavi Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi, Bw. Albert Msovela amewapongeza Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kwa kuendesha mafunzo ya sheria ya uzito wa magari ya Afrika Mashariki ya mwaka 2016 na kanuni zake za mwaka 2018 kwa watumishi wake wa Kanda ya Magharibi yenye mikoa ya Tabora, Rukwa, Kigoma na wenyeji Katavi.... Read More