Na Muhidin Amri, Songea WAKAZI 175 wa mtaa wa Ruhila Seko Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma,wamelipwa Sh.milioni 925.33 kama fidia baada ya kutoa maeneo yao katika bonde la Ruhila ili kupisha shughuli za uhifadhi wa chanzo cha maji. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira Songea(Souwasa) Patrick Kibasa... Read More