Na Ashrack Miraji Fullshangwe Media Vikundi 37 vya Wanawake, Vijana na Wenye ulemavu katika Halmashauri ya Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro vimekidhi vigezo na kupatiwa mkopo wenye thamani ya shilingi Milioni mia moja themanini na moja na laki tano (181,500,000) ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa jukumu la uwezeshaji wananchi kiuchumi kupitia program ya utoaji... Read More