Kiongozi mpya wa Hezbollah kutoka Lebanon, Naïm Qasim, ametoa hotuba yake ya kwanza siku ya Jumatano OKtoba 30, 2024, siku moja baada ya kuteuliwa kama mkuu wa kundi linalounga mkono Iran, zaidi ya mwezi mmoja baada ya kifo cha Hassan Nasrallah katika shambulio la Israel. “Mpango wangu wa utekelezaji ni mwendelezo wa mpango kazi wa... Read More