Kulia Mkuu wa wilaya ya Tanganyika Onesmo Buswelu akisalimiana na Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi Inyagantambo. Na. Zillipa Joseph, Katavi Wanafunzi 296 wa shule ya msingi Inyagantambo katika kata ya Tongwe halmashauri ya wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi wamepata madarasa ya kudumu baada ya kusoma katika madarasa ya nyasi na wanafunzi wengine wakisomea chini... Read More