Katika hatua inayosababisha wasiwasi mkubwa kwa jamii ya kimataifa, Kim Jong Un, kiongozi wa Korea Kaskazini, ametangaza nia yake ya kuongeza silaha za nyuklia baada ya kufanya ziara katika kituo cha siri cha uchakataji uranium ambapo hatua hiyo inaashiria kuongezeka kwa tishio la kimataifa kutoka kwa Korea Kaskazini, ambayo inaonekana kujiandaa kwa nguvu zaidi ya... Read More