Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry Silaa (Mb.), amekutana na Balozi wa Finland nchini Tanzania, Mhe. Theresa Zitting, aliye ambatana na Balozi Mdogo wa ubalozi huo, Bw. Tomi Lounio, leo Septemba 12, 2024, katika ofisi za Wizara ya Mambo ya Nje na Afrika Mashariki, jijini Dar es Salaam. Katika kikao hicho,... Read More