Shirika la Usalama wa Afya la Uingereza limetangaza siku ya Jumatano Oktoba 30 kwamba limegundua kisa cha kwanza cha maambukizo ya aina mpya ya virusi vya Mpox, ambavyo chimbuko lake kubwa ni kutoka barani Afrika. “Shirika la Usalama la Afya la Uingereza (UKHSA) limegundua kisa kimoja cha binadamu kilichothibitishwa cha clade 1b Mpox,” shirika hilo... Read More