Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amesema serikali inatarajia kuanzisha baraza la Afya ya akili nchini litakalosimamia muundo utakaoratibu sekta mbalimbali za kitaaluma na kiutendaji ili kushugulikia ufaniaisi wa suala la Afya ya akili nchini. Majaliwa amesema hilo bungeni Jijini Dodoma wakati akijibu swali la mbunge wa Jimbo la Iringa mjini... Read More